Friday 27 May 2016

Hillarious teacher wanjiku

MOHAMED ALI AKIELEZA VILE GAS ILIISHA AKIPIKA
Ni tarehe tano saa sita na dakika thelathini chumbani kwangu chumba nambari sufuri moja saba mtaa wa Umoja….
Maji ya ugali yalianza kuchemka na kusababisha hali ya mtafaruku kutanda huku nikijaribu kuwaza na kuwazua ni wapi niliweka ungaaaa!....Dakika chache baadaye, hatari ya mtungi wangu wa gesi kuisha ikanikodolea macho, mtungi aina ya TOTAL yenye nambari ya usajili sita mbili tatu nne sufuri…. Juhudi zangu za kuwasha jiko ziliambulia patupu kwani hata makaa sikuwa nayo. Muda mfupi baadaye jirani aliwasili na kuniokoleaaaa..
Swali ni Je? Mbona kampuni za gesi wasiuweke kifaa cha kipimo kinachoonyesha kiasi cha gesi iliyobakiiii?. Na je?????

No comments:

Post a Comment

Here is the First Young professionals Networking forum in Bungoma County

@HaoFinder @CaptainTeknics @sheila_waswa @j_mutali @GovWWangamati @Bungoma_County_ pic.twitter.com/ZiSliCXsAF — Hillery Mutali (@Se_...